| Askari wa JWTZ wa kikosi cha 44 KJ wakiwa mazoezini kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa jijini Mbeya |
| Bendi ya jeshi la Magereza wakiongoza gwaride |
| Ukumbusho wa askari waliokufa vitani 1939 1945 |
| Wanajeshi wakiendelea na mazoezi |
| Mnara huu wa majina ya Mashujaa waliokufa vitani upo katikati ya jiji la mbeya sijui kama nao wataukumbuka kuufanyia usafi maana umezungukwa na nyasi Picha Na Mbeya Yetu Blogu |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)