Kiwanja
cha maonyesho ya kilimo cha John Mwakangale Mbeya, kikiwa hakina dalili
za kuwapo kwa maonyesho hayo yanayotarajia kuanza rasmi Agost 1, ambayo
hufanyika kila mwaka tofauti na miaka mingine ambapo tarehe kama hizi
huwa tayari na shambra shambra za maonyesho hayo.
Hili
ndilo Banda la Kilimo la Wilaya ya Chunya ambalo pia ni miongoni mwa
mabanda yanayotarajia kushiriki katika maonyesho hayo.
Baadhi ya Mabanda ambayo tayari yamekamilika tayari kusubiri kuanza kwa maonyesho hayo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)