MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA MADEREVA TUNDUMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MKOA WA MBEYA AKUTANA NA MADEREVA TUNDUMA


Mkuu wa mkoa wa Mbeya akifafanua jambo kwenye mkutano huo na madereva

Uongozi wa madereva pamoja na mkuu wa mkoa katikati na kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi wakisikiliza jambo kutoka kwa madereva hao

Meneja wa TRA kitengo cha forodha  bwana Rogacian Shirima akizungumzia kuongeza idadi ya siku za kusimamia magari hayo kutoka Dar hadi Tunduma ama Kasumulu ambapo watachukua siku  saba badala ya siku tano za awali.

Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi Afande Ernest Dudu akizungumzia utaratibu Trafiki kukagua magari hayo tu pale yanapokuwa mizani.

Hapa viongozi wa madereva biashara ikawakata hivi hivi pale hoja yao ilipokumbana na upinzani wa wale wanaowaongoza

Hapa Mwakipesile kakasirika baada ya kukutana na maswali mengine yanayoonyesha kutokukubaliana na yale wanayoshauriwa!Picha Na Mbeya Yetu Blogu 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages