Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Atembelea Ofisi Ya Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Atembelea Ofisi Ya Makamu wa Kwanza Wa Rais Zanzibar


Waziri Fereji akifafanua jambo wakati alipotembelewa na Balozi wa Marekani
Balozi waMarekani nchini Bw Alfonso Lehardt(kushoto)akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Fatma Fereji
Balozi akiwa na mmoja wa vijana aliyeamua kuachana na uteja kweny nymba Sober House Tomondo alipowatembelea.
Balozi wa Marekani akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Afisi ya Makamu pamoja na Vijana wa Sober House- Tomondo. Picha zote na Raya Hamadi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages