Watoto
kabila la Kigogo Mkoani Dodoma wakiwa kwenye Jando huku wakiwa wamepakwa
udongo maalum kwa wakati wa shughuli hiyo ambao kwa mila na desturi
huzuia magonjwa mbali mbali, watoto hao huwekwa pamoja kwenye nyumba kwa
takribani wiki 6 na baadae hutolewa kwa sherehe maalum ya kikabila
Tazama
watoto hao ambao wametahiliwa kimila na kuhifadhiwa bila dawa yeyote
lakini baada ya wiki 6 hutolewa wakiwa ni wazima kabisa kwa mujibu wa
mila na desturi za kabila la Kigogo






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)