Kibaka Akiwa Amekunjwa Tanganyika Jeki Na Vijana Wa Usalama Katika Viwanja Vya Sabasaba
Unaleta Utani Eehhh ..........Simama Wima.....
Katika
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam yanayoendelea wapo
vijana na watu wazima ambao wao huingia humo si kwa lengo la kufurahisha
macho bali kubeba kwa njia isiyo halali mali za watu. Kijana huyu ni
mmoja wapo alidakwa akiiba simu katika moja ya mabanda yaliyopo.
Wizi wa simu, fedha na hata laptop umekuwa ukiripotiwa siku hadi
siku katika maonesho hayo. Watu wanaweza kuja kundi kukuzubaisha na
wengine kuiba.
Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)