ABIRIA WASOTA NJIANI TAKRIBANI SAA NANE WAKISUBIRI KUBADILISHIWA USAFIRI HUKO KUSINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ABIRIA WASOTA NJIANI TAKRIBANI SAA NANE WAKISUBIRI KUBADILISHIWA USAFIRI HUKO KUSINI

Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Songea kwenda Masasi mkoani Mtwara, wakiwa hawajui la kufanya baada ya kukwama kufuatia gari walilokuwa wakisafiria la kampuni ya Kisiwa Video Coach,kuharibikia katika kijiji cha Mchomolo wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma,ambapo walilazimika kusubiri kwa zaidi ya masaa 8 bilia ya kupatiwa usafiri mwingine. 

 Abiria hao wakiwa wamekata tamaa  baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Songea kwenda Masasi mkoa wa Mtwara (pichani) kuharibika wilayani Namtumbio ambapo walilazimika klusubiri kwa zaidi ya saa 8 njiani kabla ya kuendelea na safari yao,
Abiria wa basi la Ng'itu linalofanya safari zake kati ya Mtwara mjini  kwenda Dar es Salaam, wakiwa wameshuka ndani ya gari ilio baada ya usafiri huo kuharibika  ilo katika kijiji cha Mavuji wilayani kilwa hivi karibuni. Picha Zote na Muhidin Amri, Songea

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages