NAOMBA MNIPIGIE KURA KATIKA SHINDANO LA TANZANIA BLOG AWARDS LINALOANZA KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NAOMBA MNIPIGIE KURA KATIKA SHINDANO LA TANZANIA BLOG AWARDS LINALOANZA KESHO


Wadau Wa Lukaza Blogu Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuwaomba Kunipigia Kura Kuanzia Kesho Katika Shindano La Blogu Za Tanzania Ili Niweze Kuibuka Kidedea Katika Shindano Hilo. 

Lukaza Blogu Imekuwa Nominated Katika Kategoli Mbili Ya Kwanza ni 
 Best Enterprenual


Ya Pili ni Best News.


Hatimaye Zoezi La Kupiga Kura kwa Blog zilizoainishwa linaanza kesho na litadumu kwa muda wa wiki mbili tu hadi tarehe 9 July 2011 

Masharti Ya Kupiga Kura Ni, Untakiwa Kupiga Kura Moja Katika kategoli Moja kila baada ya Masaa 12 ndio unaweza kupiga kura tena 

Zoezi hili litafanyika katika tovuti Hiyo chini au Bofya Hapo Chini


na Kwa Maelekezo Mengine Ingia Hapo Juu Kwa Kubofya 

TANZANIA BLOG AWARDS


Ahsante Sana Na Mzidi Kupiga Kura

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages