ZIARA YA RAISI KIKWETE JAMHURI YA SEYCHELLES - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA RAISI KIKWETE JAMHURI YA SEYCHELLES


Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Seychelles Mheshimiwa James Manchan kwenye uwanja wa mpira wa mjini Victoria,mji mkuu wa Seychelles wakati wa kuadhimisha sherehe za siku ya Taifa hilo tarehe 18.6.2011.
Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja. 
Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Michel kweye ikulu ya nchi hiyo mjini Victoria tarehe 18.6.2011
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mke wa Rais wa Seychelles Mama Natalie Michel huko ikulu tarehe 18.6.2011
Rais Jakaya Kikwete akipokewa rasmi na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Seychelles Mheshimiwa James Alix Michel mara tu baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Victoria nchini humo tarehe 18.6.2011 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Picha na John Lukuwi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages