KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTUMISHI LAFUNGULIWA LEO NA WAZIRI MKUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTUMISHI LAFUNGULIWA LEO NA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda akifungua a kongamano la kimataifa la utumishi wa umma liloanza leo jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu alikuwa ngeni rasmi katika ufunguaji wa kongamano hilo.

 

Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda(kulia) akibadilishana mawazo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia wakati wa kongamano la kimataifa wa utumishi wa umma liloanza leo jijini Dar es salaam. Waziri Mkuu alikuwa ngeni rasmi katika ufunguaji wa kongamano hilo.
 
Picha Na VPO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages