ZIARA YA NAPE NA ASHA ABDALLAH JUMA MKOANI LINDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA NAPE NA ASHA ABDALLAH JUMA MKOANI LINDI

Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege, (kulia) akishangilia wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara, Kilwa Masoko mkoani Lindi
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma, akimnyamazisha Asha Likalangala, aliyeangua kilio baada ya kuingiwa na maneno, Nape alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, Kilwa Masoko
Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala katika mkutano wa Kilwa Masoko .
Nape akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mkapa Garden, Kilwa Masoko, Lindi
Nape akishauriana jambo na Asha Abdallah Juma baada ya kupokewa na viongozi wa mkoa wa Lindi
Nape akiwa amezungukwa na umati wa wananchi baada ya kuhutubia mkutano kwenye uwanja wa Mkapa Garden, Kilwa Masoko
Nape na Asha Abdallah Juma wakisindikizwa na wananchi baada ya mkutano wa Kilwa Masoko
Nape akishauriana jambo na Mzee Mtopa, Katibu wa CCM mkoa wa Lindi
Nape akisakata muziki na vijana wasanii wa muziki wa kizazi kipya, kwenye mkutano wa Kilwa Masoko
 
Na Mbeya Yetu Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages