Mwanamuziki wa kimataifa Shaggy yuko visiwani Zanzibar ambako
aliwasili jana na kulakiwa na wenyeji wake kiasisli zadi kwa kuvishwa
taji lililotengenezwa kiasili na kufikia Zanzibar Resort ambako nako
alikalishwa 'jamvini' Usiku wa kuamkia leo amefanya onesho Ziff na
kukonga nyoyo za mashabiki waliofurika.
Shagy akiweka saini kitabu cha wageni
huku akiwa ameketi 'chamvini'
Shagy akifurahia jambo na mwenyeji
wake huku akijiandaa kunya dafu aliloshika mkononi
PICHA: IMELDA MTEMA-ZANZIBAR/GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)