Hii ni athari ya kukosa viwanja vya wazi kwaajili ya watoto kucheza. Athari hii inatokana na ufisadi katika sekta ya ardhi ambapo wanauziwa maeneo ya wazi kinyemela na watoto wanakosa sehemu kwaajili ya michezo na matokeo yake ndio hivi watoto hucheza sehemu za hatari kama hiyo. HATARI SANA
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)