Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kampuni
ya bia ya Serengeti Breweriers Jaji Mark Bomani, akimkaribisha
Mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani wakati alipowasili katika
uwanja wa ndege wa Mwanza, tayari kwa onyesho lake kabambe
litakalofanyika katika tamasha la Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta
katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Kesho.
Shaggy
akipiga picha na warembo wawili mara baada ya kukabidhiwa ua kama ishara
ya kumkaribisha wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo
mchana.
Meneja
wa kinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo akisalimiana na mwanamuziki
Shaggy mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo mchana.
Mtangazaji
wa Clouds Rubeny Ncha kali akifanya mahojiano na mwanamuziki Shaggy
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
Mwanamuziki
Shaggy akipozi kwa picha na warembo wa mwanza mara baada ya kwasili
jijini huo leo mchana.
Mkurugenzi wa Clouds Entertainment Bw.
Joseph Kusaga akimuongoza mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani mara
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo mchana.
Source: John Bukuku - Full Shangwe Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)