Hapa
Gari aina ya Fuso inaonekana imepaki bara barani katika kijiji kimoja
Mbeya. likipaki mzigo
Baadhi
ya Jamaa wakiwa wanataka saidia kupajia mzigo eneo hilo wakati magari
mengine yanangoja kupita
Hapa
wanaelekea kumaliza pakia Mzigo ili waendelee na safari Magari mengine
yalishindwa pita pembeni kutokana na Mtaro mbele.
Na Mbeya Yetu Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)