Vodacom miss Sinza 2011, Felista Philip (katikati) akipunga
mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi na kutwaa taji hilo katika
shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Vatican
City Sinza jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa tatu, Husna
Maulid na mshindi wa pili, Naomi Jones .
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Songoro
Mnyonge, akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Vodacom Miss Sinza, Felista
Philip, zawadi ya shilingi 600,000. Kutoka kulia ni mshindi wa tatu
Husna Maulid ,mshindi pili Naomi Jones wakishuhudia..
Warembo wa Vodacom miss
Sinza waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya
pamoja.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)