Vodacom
Miss Pwani Winifrida Gracian katikati akiwa na mshindi wa pili
Thuraiya Dabas(kushoto) na mshindi watatu Mariaclara Mathayo kwenye
shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya
Bagamoyo.
Afisa
Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude kulia akimkabidhi zawadi ya
shilingi 100,000 mshindi wa tatu Mariaclara Mathayo,shindano hilo
lililofanyika jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Afisa
tawala Wilaya ya Bagamoyo Daniel Machunda akimkabidhi zawadi ya
shilingi 250,000 mshindi wa Vodacom Miss Pwani Winifrida Gracian mara
baada ya kunyakua taji la shindano hilo lililofanyika jana katika ukumbi
wa TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
Warembo
tano bora waliotinga katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss
Pwani,shindano hilo lilifanyika hapo jana katika ukumbi wa TASUBA,Pwani
Wilaya ya Bagamoyo.
Mtaalam
wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Afisa
Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude,Rahma Kaude,John Kilindo
wakifatilia shindano la Vodacom Miss Pwani hapo jana ambapo Winifrida
Gracian alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika ukumbi wa
TASUBA,Pwani Wilaya ya Bagamoyo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)