SERENGETI FIESTA 2011, MWANZA YAFUNIKA MBAYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SERENGETI FIESTA 2011, MWANZA YAFUNIKA MBAYA

Nyomi ya kutosha.
Hapa ni jenereta la kutosha hakuna kusema umeme umeketika, tanesco hawana nafasi.
Nayo radio Clouds FM ipo Live.
Aha! kila kitu kimepangika hapa ni wale watu wa gambe... bar zipo na mamisosi ya kutosha.
Mambo ya Clouds TV nao wapo Live bila Chenga.
Nyomi ambayo imejitokeza kwenye Serengeti Fiesta 2011 ndani ya CCM Kirumba jijini Mwanza. Kwa wale wengine wanaopenda kusiliza 'live' ni www.toneinternetradio.blogspot.com utayapata yote yanayoendelewa.

Copyright 2007 @KAJUNASON

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages