Vijana
wanadikiwa kuwa ni vibaka katika mitaa ya Manispaa ya Songea
wakishikana mashati baada ya mmoja wao kuwadhurumu wenzake mgao wa
fedha, baada ya kufaulisha tukio lao la uporaji na kufanikiwa kuuza.
Sasa kazi ikwa ni uwiano wa mgao ndiyo chanzo cha kuanza kwa sakata hili
la kushikana mashati na kuchapana hadaharani, haikuweza kufahamiaka
tukio hilo la uporaji walilitenda katika mtaa gani na kwa mhusika gani.
Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiandaa biashara ya ke ya utumbo kama alivyokutwa na mpiga picha Muhidin Amri, mjini Songea
jana. Wafanyabiashara hawa wamekuwa na utaratibu wa kufanya biashara
kama hii katika maeneo hata ambayo si maalum kwa ajili ya biashara.
Mkuu
wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Chistine Ishengoma, akiwa ofisini kwake wakati
akifanya kikako na watendaji wa ofisi yake na waandishi wa habari hivi
karibuni.
Picha Zote na Muhidin Amri,Songea
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)