Mwenyekiti
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),ambaye pia ni Kiongozi
waz Kambi ya wapinzani Bungeni kadhalika ni Mbunge wa Jimbo la Hai
Mkoani Kilimanjaro.Amekamatwa na Polisi kufuatia amri ya Mahakama kwa
kosa la kutofika Mahakamani mara mbili katika muda uliopangwa na
Mahakama.Kufuatia kitendo hicho uongozi wa CHADEMA umelaani vikali
kitendo hicho huku ukisema huko ni kwamisha juhudi za Mbowe akiwa
Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni pia Waziri Mkuu Kivuli Bungeni
kwani, atakosa vikao muhimu vya Bunge la Bajeti
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)