Ofisa
Mauzo na masoko wa kampuni ya Vodacom Mkoa wa Ruvuma, wadhamini wa
mashindano ya Vodacom Miss Tanzania, Adam Mbega (katikati) akizungumza
wakati wa mkutano wa kuwatambulisha washiriki wa shindano la kumtafuta
Miss ruvuma 2011, kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana
katika ukumbi wa Hoteli ya Chimbond, Mjini Songea (kulia) ni mratibu
wa mashindano hayo Dkt. Herman Mayunga na (kushoto) ni mwalimu wa
warembo hao, Juma Nyamwela.
Mratibu
wa shindano la kumsaka Miss Ruvuma 2011, (Vodacom Miss Ruvuma 2011)
Dkt. Herman Mayunga (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wa
mjini Songea katika ukumbi wa Chimbond Hotel, kuhusu maandalizi ya
mashindano hilo.linalotarajia kufanyika wiki ijayo. Kulia ni mwalimu wa
warembo hao kwa upande wa Catwalk, Cleopatra George na (kushoto) ni
Ofisa mauzo na masoko wa kampuni ya Vodacom Mkoa wa Ruvuma, Adam Mbega.
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mchuano huo unaotarajia kufanyika wiki ijayo.
Baadhi ya washiriki wa shindano hilo wakipozi kwa picha wakati wa mazoezi yao ya kujiandaa na mchuano huo unaotarajia kufanyika wiki ijayo.
Picha Zote na Muhidin Amri, Songea
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)