Baadhi
ya wafanyakazi wa Wizara ya Fedha wakiwa katika picha ya pamoja
jijini Dar es salaam mara baada ya kushinda ushindi wa kwanza kwa
Wizara na pia mshindi wa tatu kwa banda bora.
Msemaji
wa Wizara ya Fedha Ingiahedi Mduma akionyesha kikombe cha ushindi wa
kwanza wa utoaji wa huduma nzuri wa Wizara wakati wa maadhimisho ya
wiki ya utumishi wa umma yalimalizika Juni23,2011 Wengine ni Maafisa
habari Eva Varerian na Richard Cheyo.Picha na Wizara ya Fedha
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)