FFU wa Ngoma Africa band jukwaani ! Jumamosi 25.06.2011 Heidelberg
na Jumapili 26.06.2011 Freudenstadt City, nchini Ujerumani
Bendi
ya maarufu ya mziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU
yenye makao yake nchini ujerumani,inatarajiwa kupanda jukwaani siku ya
jumamosi 26.06.2011 katika onyesho kambambe mjini
Heidelberg,ujerumani.Pia
siku ya jumapili 26.06.2011 Kikosi kazi hiko cha FFU wa Ngoma Africa
band,kitaelekeza mashambulizi yake ya mziki katika oynesho lingine
"Afrika Tage" mjini Freudenstadt,kusini mwa Ujerumani ambako mshike
mshike wa pata shika ya nguo kuchanika ya washabiki na gwaride la mziki
"bongo dansi" utakuwapo,Pia karandinga la FFU wa ngoma africa limeegesha
hapa unaweza kuchungulia virungu na vya machozi ya mziki
Jipendelee kwa kujipa raha mwenyewe kwa kukongoli au bofya at
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)