Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa rais
wa zamani wa Zambia, Frederick Chiluba, aliyefariki hivi karibuni.
Makamu wa Rais alifika kuweka saini katika kitabu hicho kilichopo
katika makazi ya Balozi wa Zambia nchini, jijini Dar es Salaam leo Juni
24. Picha na Amour Nassor-Ofisi Ya Makamu Wa Rais
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)