Katibu
wa NEC, Itikati na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na
watayarishaji wa mitandao ya Blogu, leo, makao makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba, Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara
ya Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda
Nape
akiwa katika picha ya pamoja na ma-blogger hao baada ya mazungumza hayo
kuhusu masuala ya jamii, na kujitambulisha kwao katika wadhifa wake
kama msemaji wa Chama.
Na Nkoromo Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)