MKUTANO WA TATU WA AFRIKA WA KUJADILI MAENDELEO YA ELIMU HURIA NA ELIMU MASAFA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO WA TATU WA AFRIKA WA KUJADILI MAENDELEO YA ELIMU HURIA NA ELIMU MASAFA


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania(OUT),Profesa Tolly Mbwette(kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam , kuhusu maandalizi ya mkutano wa tatu wa Afrika wa kujadili maendeleo ya Elimu Huria na Elimu Masafa itakayoanza Julai 12-15, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Elifas Bisanda ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma).Picha na Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages