Hao Ni Wanafunzi Ambao Wanasoma Katika Wakati Mgumu Na Kwenye Mazingira Magumu Je Wizara Ya Elimu Mpo Hapo. Ni Ajabu Kwa nchi Kama Tanzania Ambayo Ina Umri Wa Miaka 50 Sasa Wanafunzi kusomea Chini Ya Miti Na Walimu Kufundisha Katika Mazingira magumu Kama Hayo.
Je Unategemea Wanafunzi Hao Wataelewa? Na Je Hii Ndio Elimu Bora Au Bora Elimu? Majibu Mnayo Wasomaji
Tafakari Chukua Hatua.....
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)