Vodacom
Miss Mwanza 2011 Irene Kalugaba akiwa a picha pamoja na =mshindi wa
pili Vodacom Miss Mwanza Frola Razaro (kulia)a Monica James mshindi wa
pili wa shindano la Vodacom Miss Mwanza lililofanyika kwenye hoteli
mpya na ya kisasa kabisa ya Gold Crest karibu kabisa na hoteli kongwe
ya New Mwanza Hoteli jijini Mwanza ambapo tayari shindano limekwisha
na washindi ndioyo hao.
Mkurugenzi
wa Vodacom Tanzania Kanda ya ziwa Bw Stephen Kingu akipokea cheti kwa
niaba ya Vodacom Tanzania kama ishara ya kampuni ya Sisi Entertainment
kushukuru kwa udamini wao madhubuti na mnono kutoka Vodacom.
Mkurugenzi
wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Bw Stephen Kingu akiwa katika picha
ya pamoja na wafayakazi wenzake, kulia ni Janet Kambeson msaidizi wa
Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Ziwa, Miriam Makalla Mwakilishi wa Mauzo
Vodacom Kanda ya Ziwa , Bernald Kombe Activation Coordinator Lake Zone .
Hii
ndiyo tano bora ya Vodacom Miss Mwanza kutoka kulia ni Ester Laurent,
Monica James, Diana James, Irene Kalrgaba na Frola Razalo wakipozi kwa
picha.
Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kabla ya kumtangza mshindi kutoka kushoto ni Cess Odemba Ben Mwangi,Cynthia Buhama
Msanii
Barnaba akipagawisha mashabiki wake wakati wa shindano la Vodacom Miss
Mwanza lililofanyika katika hoteli ya Gold Crest Hotel.
Wasanii
wa mwanza wakifanya vitu vyao jukwaani wakati wa shindano la Vodacom
Miss Mwanza linaloendelea usiku huu katika hoteli ya Gold Crest Hotel.
Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya Ziwa Stephen Kingu katikati akiwa
katika picha ya pamoja na wadau wengine wa Vodacom Mwanza wakishuhudia
shindano hilo, Vodacom ni wadhamini wakuu wa Miss Tanzania
na Mkurugenzi wa Clouds Ruge Mutahaba
Ukumbi umefurika kiasi kwamba hakuna mahali pa kukaa na watu wengine wameshindwa kuingia na kubaki nje na wengine kuondoka.
Source: John Bukuku - Full Shangwe Blogu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)