Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akifungua Semina ya Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa
Wilaya kwenye ukumbi wa St. Gaspar Mjini Dodoma Juni 25, 2011.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Spika
wa Bunge Mh. Anne Makinda wakitoka kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni
Mjini Dodoma baada ya Waziri Mkuu kufungua Semina ya Wabunge kuhusu
Taasisi ya Uongozi Institute .
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya
Wakuu wa Mikoa wakimsikiliza Waziri Mkuu Pinda wakati alipofungua semina
yao kwenye ukumbi wa St. Gaspar Mjini Dodoma Juni 26, 2011.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Paschal Mabiti baada ya
kufungua semina ya Wakuu wa Mikoa ,Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa
Wilaya kwenye ukumbi wa St. Gaspar Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa, Capt.George Mkuchika baada ya kufungua semina ya
Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kwenye
ukumbi wa St. Gasjini Dodoma Mjini Dodoma Juni 26, 2011.Picha na
Ofisi Ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)