WASHIRIKI WA VODACOM MISS KAGERA 2011 KUINGIA KAMBINI KESHO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASHIRIKI WA VODACOM MISS KAGERA 2011 KUINGIA KAMBINI KESHO



Sylvia

Beatrice

baadhi ya warembo watakao panda stage kwenye Vodacom Miss Kagera  Juni 24, mwaka huu ukumbi wa maraha wa Bukoma,  LINAZ CLUB

Warembo tisa wanaingia kambini kesho Jumamosi katika le DESIRE APARTMNETS, wakati warembo toka Ngara na  Karagwe wakisubiriwa. Mpaka sasa waliokamilika warembo wa  kutoka Wilaya za Bukoba mjini Muleba.
 
Vodacom Miss Kagera 2011  itapambwa na mwanamziki 20% toka Dar es Salaam.
Wadhamini wetu ni REDDS ORGINAL, VODACOM, COCACOLA, LINAZ NIGHT CLUB, MICHUZI BLOG, Radio KASIBANTE, RADIO VISION FM, na CHANNEL 4 TELEVISION ya hapa Bukoba.

Source: Michuzi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages