MAMA SALMA AZINDUA KITABU CHA CHANDARUA SALAMA CHENYE KUTOA ELIMU JUU YA MALARIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA AZINDUA KITABU CHA CHANDARUA SALAMA CHENYE KUTOA ELIMU JUU YA MALARIA


Mama Salma Kikwete akihutubia
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Msingi Kilimani Sesame na kujaribu kuwafundisha kitabu alichokizundua jana Dar es Salaam cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria ugonjwa hatari unaosababisha vifo vingi kuliko ugonjwa mwingine wowote nchini hususani kwa akina mama wajawazito na watoto.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akioneshwa kitabu cha Chandarua Salama cha Kilimani Sesame chenye kutoa elimu juu ya Malaria kutoka kwa Mwakilishi wa Zinduka- Malaria no More, Sadaka Gandi Dar es Salaam jana.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages