WAREMBO MISS DAR INTER COLLEGE WAENDELEA KUJINOA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAREMBO MISS DAR INTER COLLEGE WAENDELEA KUJINOA

Ruka Juu Tena ...
Nyoosha mikono juu tuone
WAREMBO wanaotarajiwa kushiriki shindano la urembo la Miss Dar Inter College mwaka 2011 wanaendelea na mazoezi yao katika ukumbi wa Club Sunsiro,ambapo shindano linatarajiwa kufanyika Juni 17 ukumbini hapo. Warembo hao wanatoka katika vyuo vya Ustawi wa Jamii, CBE, IFM, na DSJ 
Na Dina Ismail

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages