Mbunge
wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akibadlishana mawazo leo mjini
Dodoma na Mwenyekiti wa Chama cha APPT Maendeleo Peter Kuga Mziray
(kushoto) wakati wa mapunziko ya kikao cha pili cha mkutano wa nne wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea mjjini Dodoma.
Waziri
wa Katiba na Sheria Celina Kombani (kushoto) akibadlishana mawazo leo
nje ya ukumbi wa bunge la Tanzania na Mbunge wa jimbo la Kigoma Kusini
David Kafulila (kulia) wakati wa mapumziko ya kikao cha pili cha
mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini Dodoma.
Waziri
wa Nchi , Ofisi ya Rais (mahusiano na uratibu) Stephen Wasira (kulia)
akibadlishana mawazo jana mjini Dodoma na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais
(utawala Bora) Mathias Chikawe(kushoto) na Naibu Waziri wa Nishati na
Madini Adam Malima( wa pili kulia) na Mbunge wa jimbo la Kigoma
Kaskazini Zitto Kabwe(wa pili kushoto) wakati wa mapunziko ya kikao cha
pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Naibu
Waziri , Ofisi ya Wazir Mkuu ,Tawala za Mikoa na Seikali za Mitaa
Aggrey Mwanri akijibu maswali mbalimbali ya wabunge jana Bungeni mjini
Dodma wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania
unaoendelea mjini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo jana mjini Dodoma na
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd wakati wa kikao
cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini
Dodoma
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na
Naibu Waziri , Ofisi ya Wazir Mkuu ,Tawala za Mikoa na Seikali za Mitaa
Aggrey Mwanri wakati wa kikao cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la
Tanzania unaoendelea mjini Dodoma
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akibadilishana mawazo leo mjini Dodoma na
Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Mhagama(kushoto) wakati wa kikao
cha pili cha mkutano wa nne wa Bunge la Tanzania unaoendelea mjini
Dodom.
Picha na Zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)