WAZIRI EMMANUEL NCHIMBI AKITETA JAMBO NA MZEE SEIF KHATIBU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI EMMANUEL NCHIMBI AKITETA JAMBO NA MZEE SEIF KHATIBU


Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi(kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Jimbo la Uzini Mohamed Seif Khatibu nje ya ukumbi wa Bunge la Tanzania mara baada ya kuharishwa kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Bunge umeanza jana Juni 7, 2011 mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages