Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri mkuu Sera Uratibu na Bunge William Lukuvi akizungumza na wanafunzi wa shule ya Msingi Bunge kutoka Dar es salaam nje ya ukumbi wa Bunge. Wanafunzi hao walikuwa bungeni Dodoma kujifunza masuala mbalimbali yanayofanywa na Bunge kufuatia mwaliko wa Spika.Picha na Aron Msigwa -MAELEZO
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)