UMEYA WA ARUSHA CCM NA CHADEMA ULIKUA HIVI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UMEYA WA ARUSHA CCM NA CHADEMA ULIKUA HIVI

Meya wa Arusha,Gaudence Lyimo (katikati-CCM) akishikana mikono na Naibu Meya mpya, Estomih Malah (Kushoto-CHADEMA), kama ishara ya kupatana, baada ya makubaliano ya kufikiwa katika Kikao Maalumu cha Baraza la Madiwani kilichofanyika hivi karibuni. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Arusha, Estomih Changa'h.

Meya
Gaundence Lyimo CCM

Naibu Meya
Estomih Malah CHADEMA alipata kura 22 kati ya 25.
2 za HAPANA na Moja iliharibika

Kamati
Kamati ya Uchumi na Elimu: Bayo-CHADEMA
Kamati ya Fedha: Lyimo- TLP

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages