WANAFUNZI WA MWAKA WA PILI KUTOKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WANAFUNZI WA MWAKA WA PILI KUTOKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI WATEMBELEA KAMPUNI YA MAGAZETI YA SERIKALI


Mhariri wa Habari wa gazeti la HABARILEO, Mgaya Kingoba akiwaeleza wanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu Tumaini, namna gazeti linavyoandaliwa walipotembelea chumba cha habari cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Tanzania Standard (Newspapers) Limited (TSN), Dar es Salaam.Picha na Robert Okanda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages