Madiwani wa wilaya ya
Temeke wakiwa katika kikao chao leo kinachofanyika kila baada ya miezi
katika ukumbi wa mikutano uliopo manispaa ya Temeke. Mstahiki Meya wa wilaya ya Temeke (kulia) Maabad Hoja akiingia
katika
ukumbi wa mikutano uliopo katika ofisi za
manispaa ya Temeke kwa ajili ya kuanza kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika jana wilayani Temeke Madiwani wa wilaya ya
Temeke wakipekua vitabu kwa umakini kwaajili ya kutaka kumbana kwa maswali Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Eng. Gaston Gasama (hayupo pichani)
wakati wa kikao chao kilichofanyika jana katika ukumbi wa mikutano
uliopo manispaa ya Temeke.
Madiwani wakitafakali kwa makini majibu yaliyokuwa yakitolewa na Kaimu
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo.
Picha na Anna Nknda-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)