WABUNGE WAPIGWA MSASA KWAAJILI YA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA 5 MJINI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WABUNGE WAPIGWA MSASA KWAAJILI YA MPANGO WA MAENDELEO WA MIAKA 5 MJINI DODOMA



Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda(kulia) akifafanua jambo kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda(katikati) leo mjini Dodoma wakati wa semina kwa wabunge juu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/12 hadi 2015/16 iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais ,Tume ya Mipango. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(Mahusiano na Uratibu)Stephen Wasira

Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda(kulia) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda(kushoto) wakijadiliana jana mjini Dodoma wakati wa semina kwa wabunge juu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/12 hadi 2015/16 iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais , Tume ya Mipango.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda( kulia) akitoa ufafanuzi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira(kushoto) leo mjini Dodoma wakati wa semina kwa wabunge juu ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/12 hadi 2015/16 iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais , Tume ya Mipango.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi Bungeni akichangia hoja katika semina hiyo Jana.
Wabunge na Mawaziri wakiwa katika semina ya siku moja juu ya Mpango wa kwanza wa Maendeleo wa miaka mitano 2011/2012-2015/2016 ambao ulizinduliwa hivi karibuni na Rais Jakaya Kiwete mjini Dodoma,Semina hiyo imetolewa ili kuwapiga Msasa Wabunge juu ya mpango huo ambao wanatarajia kuujadili Bungeni kwa siku mbili Juni 13-14, 2011.Picha na Vicent Tiganya- Maelezo na Mdau

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages