MOTEMA PEMBE WATUA DAR KUIKABILI SIMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MOTEMA PEMBE WATUA DAR KUIKABILI SIMBA


Wachezaji wa timu ya Motema Pembe itakayomenyana na Simba Jumapili wiki hii kwenye Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, wakiwa akwenye Uwaja wa Ndege wa Kimataifa ya Julius Nyerere (JNIA) baada ya kuawasili leo jioni. (Picha na Nkoromo Daily Blog)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages