Balozi
wa Japani nchini Hiroshi Kanagawa, akimakabidhi msaada wa mafuta ya
kupikia katibu mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Mbarak Abdul
Wakil, leo asubuhi Bandarini Dar es Salaam. Msaada huo wa mafuta ya
kupikia umetolea na serikali ya Japani kwa Serikali ya Tanzania kwa
ajili ya kuwasaidia wakimbizi waliopo katika kambi mbali mbali nchini.
Balozi
wa Japan Hiroshi Kanagawa akielekeza jambo kwa mwakilishi wa shirika la
Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) Ronald Simanda wakati wa makabidhiano
ya msaada huo.Picha zote na Victor Makinda
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)