ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE MORONI COMORO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIARA YA MAMA SALMA KIKWETE MORONI COMORO


 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Wama, Mama Salma Kikwete akiangalia aina ya samaki ambae ameifadhiwa katika makumbusho ya taifa mjini Moroni,Comoro.Samaki huyo yupo kwenye orodha ya Samaki wasiotakiwa kuvuliwa nchini humo(Mwenye nguo za kijani)ni mwenyeji wake Mke wa Rais wa Comoro Mama Hadija Aboubacar Ikilioni Dhoinie jana
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Wama, Mama Salma Kikwet(aliyevaaa baibui jeusi kushoto)akiwa na mke wa Rais wa Comoro  Mama Hadija Aboubacar Ikilioni Dhoinie wakipata maelezo kutoka kwa waziri wa afya wa Comoro Mwanafuraha Mohammed(Wa tatu kutoka Kulia)kuhusu mtoto ambaye yupo chini ya uagalizi wa Madaktari baada ya kuzaliwa katika hospitali ya Rufaa ya El Maarouf Mjini Moroni, Comoro jana
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA mama Salma Kikwete(aliyevaa baibui) akiwa na mke wa Rais wa Comoro mama Hadija Aboubacar Ikililoi Dhoinine (kulia) wakipata maelezo kutoka kwa waziri wa afya wa Comoro Mwanafuraha Mohammed (wa tatu kutoka kulia) kuhusu mtoto ambaye yuko chini ya uangalizi wa madaktari baada ya kuzaliwa katika Hospitali ya Rufaa ya El Maarouf mjini Moroni Comoro jana
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Wama, Mama Salma Kikwete(Mwenye Nguo Nyekundu)akipata ufafanuzi wa Vifaa Mbalimbali vya kutengeneza Simu katika moja ya Madarasa la kituo Cha Mafunzo Cha EMDAD Kilichopo Mjini Moroni,Comoro jana
 Rais wa Kikundi Cha Mtandao Wa Wanawake na Maendeleo Cha Moroni,Comoro Bi Jacqueline Assoumani(kushoto)akitoa Maelekezo Kwa Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Na Mwenyekiti wa Wama Mama Salma Kikwete (katikati)alipotembelea na Kuangalia shughuli mbalimbali za kituo hicho kushoto kwake ni Mke wa mke wa Rais wa Comoro  Mama Hadija Aboubacar Ikilioni Dhoinie Jana
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(Kulia) akisalimiana na Akina Mama wa Comoro alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Moroni,Comoro kufwatia Mwaliko wa Mke wa Rais wa Comoro Mama Hadija Aboubacar Ikilioni Dhoinie jana.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages