SEMINA YA CHANGAMOTO NA NAFASI KATIKA BIASHARA YA MAFUTA YA MAWESE DUNIANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SEMINA YA CHANGAMOTO NA NAFASI KATIKA BIASHARA YA MAFUTA YA MAWESE DUNIANI



Mkurugenzi wa Masoko wa MPOC Bw. Faudzy Asrafudeen akiwa anatoa mada ya tatu juu ya Maendeleo ya Kiwanda cha Mafuta ya Mawese pamoja na Masoko kwa Dunia.
-Mkuu wa Idara ya Utafiti na Maendeleo aishie nchini Afrika Kusini Dkt. Aubrey Parsons ambaye aliwasilisha mada ya pili juu ya nafasi mbali mbali za mazao ya Mawese kwa bara la Afrika
Afisa Mkuu Mtendaji Msaidizi wa Kampuni ya MPOC Dkt. Kalyana Sundram akiwasilisha mada ya kwanza juu ya kuimarisha bidhaa za vyakula kwa bara la Afrika katika semina iliyofanyika kwenye Hotel ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.

Kwa habari Zaidi <<< BOFYA HAPA >>>

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages