RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AFANYA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI PEMBA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AFANYA MAJUMUISHO YA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI PEMBA


  Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza  na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya Mkoani humo, kuona Miradi mbali mbali na maendeleo kwa ujumla, katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
 Wananchi na  Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa Majumuisho baada ya ziara yake katika mkoa huo,uliofanyika jana,Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Pemba
  Wananchi na  Viongozi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akihutubia katika mkutano wa Majumuisho baada ya ziara yake katika mkoa huo,uliofanyika jana,Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Pemba
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Pemba,Dadi Faki Dadi,wkiingia katika ukumbi wa baraza la Wawakilishi Wete,palipofanyika mkutano wa majumuisho ya Ziara ya Rais katika Mkoa huo.Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages