Rais
Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Mradi wa Tiba ya Malaria
(MMV), Ray Chambers (kushoto) na Mwenyekiti wa MMV aliyemaliza muda
wake, Lynda Chalker wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa mradi
tiba ya malaria, Dar es Salaam Leo
Rais
Jakaya Kikwete akimkaribisha kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nchi za
Nje wa Hispania, Miguel Moratinos. Baadaye Rais Kikwete alifanya
mazungumzo na mgeni huyo Ikulu, Dar es Salaam Leo
Rais
Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Takreem El-Tohamy, Meneja Mkuu wa
IBM katika nchi za Mashariki ya Kati na Afrika Ikulu Dar es Salaam Leo
Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam Leo
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika mkutano wa wadau Mradi wa Tiba ya Malaria, Dar es Salaam Lep.Picha na Freddy Maro-State House Na John Lukuwi
Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika mkutano wa wadau Mradi wa Tiba ya Malaria, Dar es Salaam Lep.Picha na Freddy Maro-State House Na John Lukuwi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)