Kada
wa CCM, Shay-Rose Bhanji akikabidhi sh milioni moja kwa nahodha wa timu
ya vijana wa CCM jimbo la Kinondoni, Jackson Zola baada ya kuibuka
washindi kwenye fainali za mashindano ya soka kwa timu za vijana wa
CCM kutoka katika majimbo 8 ya mkoa wa Dar es Salaam.Kulia ni
Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kinondoni Emmanuel Tamila Makene.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)