NEWS ALERT: WANAFUNZI WA UDOM WAWAFUATA WENZAO WALIOINGIA DARASANI KWAAJILI YA KUWATOA KWA KILE KINACHOITWA WAMEWASALITI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NEWS ALERT: WANAFUNZI WA UDOM WAWAFUATA WENZAO WALIOINGIA DARASANI KWAAJILI YA KUWATOA KWA KILE KINACHOITWA WAMEWASALITI

 Kundi La Wanafunzi Likiwafuata kuwatoa Wanafunzi Ambao ni wasaliti baada ya kusikia kuwa wanafanya test wakati tamko la kutoingia kwenye vipindi lilishatolewa na wanafunzi walikubaliana
 Kama unvyoona wanafunzi wakiwafuata wanaofanya test muda huu katika shule ya sanaa ya lugha
 Wakifika barabara kuu kwaajili ya kuelekea shule ya lugha kuwafuata wanaowaita wasaliti muda huu
 Tayari Washaingia Barabarani kuelekea Shule ya lugha kwaajili ya kuwatoa wasaliti darasani
Watapona kweli hao endapo watakutwa darasani?

1 comment:

  1. Anonymous12:06 PM

    safi piga hao wasaliti tumekubalia wote wenyewe wanajifanya wanajua kusoma eeehhhh....piga tena hao wasaliti

    ReplyDelete

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages