NBC YAKABIDHI HUNDI KWA MFUKO SAWA KWA WOTE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NBC YAKABIDHI HUNDI KWA MFUKO SAWA KWA WOTE


 Mkuu wa Masoko na mawasiliano wa Benki ya NBC ,Mwinda Kiula-Mfugale (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi  ya shillingi milioni 18,200,000/- kwa  Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa kwa ajili ya mafunzo ya wanawake wajasiriamali 250 yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika ofisi za EOTF, Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages