MRISHO NGASSA KUICHEZEA SEATTLE SOUNDERS YA MAREKANI DHIDI YA MAN UNITED - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MRISHO NGASSA KUICHEZEA SEATTLE SOUNDERS YA MAREKANI DHIDI YA MAN UNITED

JK akisalimiana na winga machacahri wa klabu ya Azam FC na Taifa Stars Mrisho Ngassa siku alipokutana na TAifa Stars Ikulu siku za nyuma. Baadaye leo Ngassa anatarajiwa kutangazwa rasmi kuwamo katika kikosi cha Seattle Sounders ya Marekani kitachocheza mechi ya kirafiki na Manchester United huko Marekani hivi karibuni. Ngassa, ambaye  atakuwa mchezaji mwalikwa, anatarajiwa kutangazwa katika mkutano na wanahabari utaofanyika leo hoteli ya Movenpick jijini Dar es salaam majira ya saa sita

Source: Michuzi Blogu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages