JAJI KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAJI KIONGOZI ATEMBELEA BANDA LA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA

Jaji Kiongozi Fakhi Jundu akisaini kitabu cha wageni wakati mara baada ya kufika katika banda la Tume ya Kurekebisha Sheria alipotembelea banda hilo na kujionea baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea Dar es Salaam.
Jaji Kiongozi Fakhii Jundu akiwauliza Maofisa Sheria wa Tume kwa ajili ya kupata ufafanuzi wa baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume. 
 
Na John Bukuku - Full Shangwe Blogu 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages